Articles By: Callen Omae

Maadhimisho ya Jumapili ya Matawi (Palm Sunday)
News .

Wakristu Jumapili wanajumuika makanisani kwa maadhimisho ya Jumapili ya Matawi. Jumapili ya Matawi ni mojawapo ya siku muhimu katika kalenda…

Read More
Asante kwa Kusimama na Mimi! –Rais Amwambia Raila
News, Uncategorized .

Rais William Ruto amemshukuru Kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa kusimama na kukubali kushirikiana naye wakati akikabiliwa na hali ngumu…

Read More
Mafanikio Yangu Makubwa Yamekuwa Kumtimua Gachagua –Junet Mohammed
News .

Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Kitaifa, Junet Mohammed sasa anasema mafanikio yake makubwa yalikuwa ni kumtimua mamlakani aliyekuwa Naibu…

Read More
Rais Ruto Ahudhuria Mazishi ya Aliyekuwa Mlinzi wa Raila
News .

Rais William Ruto ni miongoni mwa viongozi wanaohudhuria hafla ya mazishi ya aliyekuwa mlinzi wa Raila Odinga, George Oduor. Hafla…

Read More
Mwanaume Mjini Bomet Amewaua Wanawe kwa Kuwakatakata
News .

Huzuni imetanda katika eneo la Tach Asis, Konoin, Kaunti ya Bomet, baada ya mwanamume mwenye umri wa miaka 35 kuwaua…

Read More
Uvamizi Kijijini Nakalimon, Kaunti ya Turkana
News .

Washukiwa wa wizi wa mifugo wanaoaminika kutoka Pokot Kaskazini wamekivamia kijiji cha Nakalimon katika eneo la Loima, Kaunti ya Turkana,…

Read More
Mvua Kubwa Yatarajiwa Wikendi Hii, Wakenya Waonywa
News .

Idara ya Utabiri wa Hali ya Anga imewashauri Wakenya kujitayarisha kwa mvua kubwa itakayonyesha katika maeneo mbalimbali nchini mwishoni mwa…

Read More
Picha za Pacha wa Susan Kihika Mtandaoni Zazua Gumzo
Entertainment .

Gavana wa Kaunti ya Nakuru, Susan Kihika, na mumewe Sam Mburu, wamechapisha picha ya familia wakionesha pacha wao wanaoaminika kuzaliwa…

Read More
Ajali ya Helikopta Iliyomuua Jenerali Ogolla Ilisababishwa na Hitilafu ya Injini
News .

Uchunguzi wa kijeshi umebainisha kuwa ajali ya helikopta iliyomuua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Francis Ogolla na maafisa…

Read More
WASREB Yatofautiana na Serikali ya Murang’a Kuh Ada za Maji
News .

Mvutano unatokota baina ya  Bodi ya Udhibiti wa Huduma za Maji (WASREB) na Serikali ya Kaunti ya Murang’a kufuatia hatua…

Read More

Do Not Miss